Tetesi za Usajili
Lassine Kouma: Moto Mpya Unaowaka Yanga!
by Chief Editor
Mashabiki wa Yanga wana kila sababu ya kutabasamu. Huyu hapa Lassine Kouma, kiungo kijana mwenye umri wa miaka 21 kutoka...
Conte Atoa Ujumbe Jangwani: “Subirini Muone”
by Chief Editor
Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Balla Mousa Conte (alikotoka CS Sfaxien ya Tunisia), amejibu mijadala kuhusu kiwango chake kwa msisitizo...
Ndoto Yatimia: Senne Lammens Awasili Old Trafford
by Chief Editor
Senne Lammens ameuelezea uhamisho wake kwenda Manchester United kuwa ni kukamilika kwa “ndoto ya utotoni,” lakini anasisitiza huu ni mwanzo...
Donnarumma ajiunga Man City kwa £26m kutoka PSG; Ederson aenda Fenerbahce.
by Chief Editor
Gianluigi Donnarumma ajiunga na Manchester City kwa ada ya pauni milioni 26 akitokea Paris Saint-Germain; ujio wake unafuatia Man City...
Simba SC iko kwenye mazungumzo ya kumsajili kiungo chipukizi Paul Attah Agyei kutoka Ghana.
by Chief Editor
MAZUNGUMZO yanayoendelea kati ya wakala wa Simba na viongozi wa Lion Of Heart ya Ghana yanaweza kuja na habari njema...
